Home » , » Picha: Wastara Anauliza, Hivi kwa Mfano….

Picha: Wastara Anauliza, Hivi kwa Mfano….

Picha: Wastara Anauliza, Hivi kwa Mfano….


Staa mrembo wa Bongo Movies, Wastara Juma amebandika picha hii mtandaoni akiwa na meneja wake Bond Bin Sinnan ni mtangazaji na pia ni muongozaji na muigizaji wa Filamu.
Kilichowafurahisha  wengi ni haya mameno Wastara alioyaandika kwenye picha huyo;
“Kwa mfano yaani no yaani nauliza hivi kwa mfano inakuwa ni aah basi nimeghairi tuendelee kuangalia mpaka usingizi utupitie uaminifu dhaifu hii ni TBTau Tabata Barakuda tuliambiwa cut ila cinema iliendelea”
Nadhani ameeleweka  vyema, hasa mstari wa mwisho hapo, ichukue hii kama ndio picha bora kwa siku hii ya leo.



Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2015. HD Movies clubs